LIBRARY GAVE ME LOVE AND A SCAR AT THE SAME TIME

               LOVE AND SCAR AT THE SAME


 LIBRARY GAVE ME LOVE AND A SCAR AT THE SAME TIME 💔 😭

Nadhani natakiwa kuandika ili ku_share experience na mapito ili mtu ujifunze,
Mapenzi nayaona kama roho flani ya tangia enzi za wahenga na manabii. Roho inakuja inakufanya inachotaka then inaondoka

T H R E A D 👇🏼
Napenda life style yangu hususani inapofika weekend baada ya kazi na usafi wa home naweza kwenda Library kufanya shule (kama sunday tuna pepa😄) au Library ya mkoa kusoma articles na magazeti sometimes
Jioni nkiwa na hela ntaenda Simba gym au Site kupata moja moto na barid 🍺
Nlikua semester 5,jumamosi moja nkaona niende Library ya Chuo nikafanye kilicho nileta Dar city. Baada ya chai nkamuona madame Grace anatoa ka IST kake anatoka nkamuomba lift mpaka Library akaniacha akaenda kazini kwake (huyu ni mpangaji mwenzangu)

Nikapanda floor ya juu niko na Pc,kitabu kimoja na daftari.Nkakuta pako na watu wachache sana nkatafuta mahali penye soketi nkakaa kiti cha nyuma alikuepo mdada mmoja kavaa suluari ya jeans na sweta (pull over )
Sikumzingatia sana,baada ya salamu nkaweka earphones maskioni

Nimekaa kama nusu saa nkawa kama najikuna mguu coz nlivaa pensi sa sjui mbu alining'ata mi sikumbuki😎
Ile nainama kujikuna kumbe yule dada nyuma yangu kitambo ananichunguza.Nlivoinuka akanigusa bega nkatoa earphones nimskilize akasema " Kaka toka umefika unaangalia movie tuu

 Si bora ungebaki home" 🙄
Nlikua na mood nzuri sikuio ata sikujali nkacheka nkageuka nkamwambia "hapana sio movie hii ni documentary ya EBOLA OUTBREAKS huko Guinea kesho tuna pepa halafu kuna maswali yatatoka humu" akachekaa kidogo akasema anhaa😄

 Nkasema "yeah" but nkabaki naangalia lile sweta alilovaa lilikua limeandikwa "Jd" akasema mbona umebaki umezubaa siuendelee kuangalia movie yako 😁
Nkasema " hiyo Jd kwenye sweta lako inanikumbusha mbali ntakupa story siku moja" nkachana  karatasi nkaandika namba nkamgea

Sikujali kama atachukua au ataacha nkaweka pale mezani kwake nkaendelea kusoma.After 1hour akawa kama ananyanyuka aondoke nkageuka nkamuuliza jina.

Her; naitwa Tayana

Me; Tanasha🙄

Her :TAYANA 😏

Me; Tanaya 😒

Her; kichwa wee naitwa Tayana 😁

Me; nakuzingua bana,mi Josh

Siku ikaisha zikapita siku kadhaa mi nshasahau kama kuna mtu nlimpa namba coz legends shoot a lot of shots ✌️
Ikawa Friday next week nkaona text "Hey josh Library " nkasema "Yeah mambo vp"
Akasema "fresh me Tayana wa ile siku" nkaunganisha dots kibao ikaja memory tukachat

 Vijistory akanambia amekuta karatasi kwenye handbag alikua anataka kufua ndo akakumbuka kunicheki. Sa sijui Mungu tuu alimkumbusha au nishetani aliona hapo ndo pakuniachia jeraha la maisha 😫
Coz after that tulipiga story sana akaamua kunikumbusha nlichotaka kusema kujusu "Jd"

 Nkacheka nkasema "The moment nakuona umevaa sweta lenye logo ya Jd mi kichwani ilikuja jina la Jack Daniel's ile pombe maana kuna siku nlikuta mshua ameacha kwenye friji nkainywa nlijikuta siku imeshaingia nyingine😀" alicheeeeka kinoma kwenye voice note whats up akasema

 Joh you are so funny but that Jd kwangu ni kumbukumbu ya Ex wangu alikua anaitwa Jackson Dauson aliniumiza sna and i don't need to talk about that " nkamwambia kweli hatakiwi kuzungumzia hilo but anahitaji mbadala wa Ex wake atakayeweza kumuondolea majeraha Akatabasamu kwa emoji

 Tukaagana tukalala.Siku zikapita mazoea yakazidi
Guys to be honest Tayana alinifanya nihudhurie Library atanikiwa sina mood ntaenda tuu ili nimuone hata ye pia nlipokua sijaenda alinitumia text mpaka tukae pamoja ndo atatulia asome❤
I slowly felt a sense of love

 Nakumbuka mpaka kuna siku nkaweka status ya maneno "Am about to fall in someone's daughter 😄" hii ndo siku jamaa angu akaComment " Falaa mtaachana tuu " nkampiga biti akiendelea silipi hela ya viatu 😎 akaniblue tick mpuuzi yule
Siku hazigandi bana siku moja nkawa Library

 Tayana hatokei nkamcheki akasema hajiskii vizuri so haezi kuja nkaona nabaki kufanya nin huku wakati naempenda anaumwa Woooii Doctor of medicine nlishikwa na huyu dada mimi aaaagh💕
Akanielekeza nkafika kwake na hii ndo ilikua siku ya kwanza kufika anakokaa.Pazuri chumba self contained

Nakshi za wadada kama unavojua kiufupi alikua anaishi. Nkafika nkamkuta amechil ndani anaangalia movie tukapiga story nkacheki friji lake kuna kila kitu nkamwambia coz she is sick i could handle everything.Nkapika tukala.
Akainama chini nikaona anatoa guitar 🎸 🤗
 Nkamuuliza kama anaweza kupiga akasema anaweza sana basi akawa anapiga me naenjoy sana.Nkamwambia okay ukiwa unapiga mi ngoja nkusimulie story inaitwa "Rose and Thorns" akawa na furaha zaidi
Nkajiona mshindi kuwa chanzo cha tabasamu  kwenye uso wa binti aliyekua hopeless

"Akasema josh nakupenda."
Nyie watu alitamka maneno matatu tuu kama yalivo hapo.😄
Nlihisi kupendwa sana baada ya hapo romantic gestures zikafata (mind you SIKUPIGA 😎)
 Narudi home jioni nkasoma huku naskiza music kodi nimelipa,umeme upo full maji kitambo na shida gani tena 🤣

Night nkamuwish usiku mwema akarespond fresh na makopa kibao ambayo nliyamiss kitambo kweli.Nkawasha data nkakuta kaandika status "Finally the lost has found ❤"
Nkasema saaasa je imeisha iyo.
Siku zikaenda tukafunga chuo akaenda kwao Mbeya tukawa tunawasiliana sana
 Lakini ghafla mawasiliano yakapungua kiasi nkimuuliza hasemi and finally usiku mmoja tukawa tunachat normal text lakini ghafla hakujibu text.Nkajua kapitiwa na usingizi niklala zangu.
Siku,siku ya pili zikapita simu hapokei meseji hajibu. Day three nkaona meseji yake inaingia

"Josh you are a good person and you deserve someone better,sijawahi kuwaza kukuumiza ndo maana nlifanya kila njia ufurahi, mi mwenzako na kansa ya damu muda mrefu na hapa najiona nimezidiwa mno.Sijui nikufanyaje coz nlikuficha muda mref😭

 Duuh nkaamua kupiga simu inapokea sauti nyingine kabisa  Anasema "mimi  dada yake Tayana,tupo msibani mwenzako katangulia mbele za haki alikua anaumwa kansa sasa nimeona kakusave JOH halafu kuna meseji kama alijaribu kuituma ikagoma nkaona niitume yawezakua mtu wake muhimu"

 Nililia mno,nkajipanga kesho yake nkamuomba msela wangu aniazime pesa kidogo nkatua Mbeya mazishi yakafanyika dada yake akanipa Guitar 🎸 la Tanaya kama kumbukumbu.
Bado na picha zake.Bado namkumbuka Kila nikiingia Library.
#End 😭😭😭
Credit:Noel
Writter: Iqram
Publisher:Alvin 

7 comments:

  1. Jitahidi sana kuwa unatumia mara nyingi iwezekanavyo, mpaka itoke labda inahitajika kauli romantic ndo uweke eng. Coz we all know swahil haipo romantic

    ReplyDelete
  2. Am also a writer and no offense am inspired..... But ingekua poa if there is spicy ...Everyone loves to imagine reality....unless otherwise am happy itsa good progress umethubutu❤

    ReplyDelete
  3. Guy u have made moi nyt big up mwayaaa Wana see moh of ur script dear🥰🥰

    ReplyDelete

Theme images by konradlew. Powered by Blogger.