I WON LOVE IN MLALE KJ 842 BUT NOW IS JUST A STORY

                           HEART BREAK
[18/04, 19:10] Iqram: I WON LOVE IN MLALE KJ 842 BUT NOW IS JUST A STORY 💔 🙌🏼

Guys, usishangae mtu anatoka jela na mpenzi wake wa maisha, wala yule anaetoka Vitani na mwenza wake
Haya mapenzi yananguvu kuliko zile winchi za bandarini
Enjoy my story.
     T H R E A D👇🏼
[18/04, 19:12] Iqram: My story started nlipomaliza kidato cha sita na kama ilivo kawaida itabidi ujiunge na mafunzo ya miezi kadhaa kwenye kambi za jeshi.Nlikua miongoni mwa waliochaguliwa. Nlifurahi pia coz all of them boyz in my gang tulichaguliwa kambi moja can u imagine 🤗
[18/04, 19:12] Iqram: Nlianza safari kutoka home kuelekea Songea ilipo kambi nliyochaguliwa. Ni safari moja ndefu sijapata ona utafikiri unaenda nje ya nchi Damn!!! But nlisafiri kwa kuungaunga nakumbuka nlifika Dodoma mida mibovu kama saa mbili night mbaya zaidi hiyo siku palikua na mechi ya..
[18/04, 19:13] Iqram: Simba  SC Vs Mbao imechezewa pale Dom kwaio guest za bei chee na lodge za watu wa hali kama zetu zilikua zimejaa nkaona isiwe kesi kwa nini mara ngapi na kesha napiga misuli huko shule😎
Nkabaki pale stand mpaka asubuhi saa kumi na moja.(Oi  Dom kuna baridi kavu night 🙌🏼😫
[18/04, 19:14] Iqram: 5;30am ndani ya SuperFeo ya kijani seat number F3 safari ikaanza.Pembeni yangu alikuwepo Ustadh na ndevu zake zenye mvi baada ya kusalimiana mi nkainama nimalizie usingizi wangu sa ntaongea nini na mtu mzima yule😒..Nlistuka mida ya saa mbili yule ustadh alikua ananiaga anashuka
[18/04, 19:14] Iqram: Alishukia njiani kwaio pakawa blank pembeni yangu Ikawa simple kuona upande wa pili.The bus was 2 by 2.Ule upande mwingine nkaona binti mmoja kavaa tracksuit za Blue zenye logo ya Apple  yupo na mama mmoja nahisi alikua mama yake.Nlimvomuona nkajua ni mwenzangu huyu.Mbele yangu
[18/04, 19:15] Iqram: Walikuepo washkaji wawili pia wana mizula kichwani nkatabasamu nkajua walewale tuu😄.Basi nkachomeka earphone moja maskioni nakula dundo (Cheed Benz ft Mzee Yusuph Mashallah mp3 🔥 )..Nkawa naskia wale wana wa mbele wanapiga story kwamba huko jeshini kabla ya yote kuna kupima😳
[18/04, 19:15] Iqram: Iyo kupima ilikua mwiba asee maana ile kabla ya Necta nlikua nimecheza rafu na Benedetta huyu dada alifanya kunitunuku tuu hakua mpenzi wangu wala nin sasa nkicheki kupima tena bora ingekua vipimo vya uzito na urefu NGOMA wazee sio,iskie tuu😣
Nkawa najaribu kupotezea ila wapi
[18/04, 19:16] Iqram: Tukafika Iringa yule mama wa pembeni alokuepo na mwanae nkaona wanashuka na safari ilipotaka kuanza yule binti akapanda mwenyewe akaketi.Mi huku kichwa kinawaka moto izi habari za kupima tena niaje asee aaagh.
Tulivosogea mbele nkaamua kueka earphones maskio yote mawili lakini..
[18/04, 19:16] Iqram: Yule dada nkaona anakuja kukaa kwangu coz kuna siti ilikua empty.Nkatoa earphones nimsikie

Her; Ey mambo? Samahani Kituo kinachofata ndo Songea?

Me; nisubiri nkujibu salam kwanza basi khee
Her;😄😄 aya
Me; mi mwenyewe mgeni naenda huko pia.Nadhani safari bado lakini
[18/04, 19:17] Iqram: Alivoskia namimi naenda huko Songea tena kambi moja na yeye akaona nafuu maana waliokua darasani wakapangiwa Mlale KJ 842 walikua wameshatangulia. So zilizofata ni story kadhaa kuhusu mitihani tulofanya ya form six ipi ilitembea ipi ilizingua.Akanambia jina lake ye ni Silvia na
[18/04, 19:17] Iqram: Alisoma shule moja ya Private pale Tanga.Nkamwambia mi naitwa Noel  akatabasamu and she replied " Dear friend Noel,will you mind if I'll be calling you Noh" nkasema "Granted ✌️"
Safari bhana ikawa safari kama we ni legend nadhani utagundua bahati nliyokua nayo kukaa na mtoto😇
[18/04, 19:19] Iqram: Tumeenda bhana Njombe makambako @⁨👩‍⚕️👩‍⚕️👩‍⚕️👩‍⚕️⁩ unapajua😂, mpaka Stand ya Msalabani Songea mjini.Nlichoka mbovu sina hali.Tulifika by saa mbili usiku so tukaona tutafute guest tulale kesho tujiandae then twende tunakoenda.Tukafika Samalia guest house pale vyumba ni 4500/- per day😂
Tukachukua vyumba kila
[18/04, 19:22] Iqram: Mtu chake.Asubuhi nlivoamka nkamgongea ajiandae tukaenda kununua vitu kadhaa ka ajili ya kambini na kunyoa vipara.Basi tukaanza kutaniana mionekano ilivobadirika baada kunyoa 😂
Yule Silvia kampani yake ilifanya nisahau kama tulipanga tukutane na kina Chacha songea mjini🤣
[18/04, 19:23] Iqram: Potelea pwete wale ni vidume tutakutana kambini. Then ilipofika saa sita mchana tukapata lunch then tukachukua gari kuelekea Mlale bhana.Kwenye gari kuruti kibao na vipara story za jeshi tuu mule ndani!!.Nkaanza kumuona Silvia uoga unamzidi kuhusu jeshi nkawa nampa moyo japo na
[18/04, 19:24] Iqram: Mimi nlikua na uoga basi tuu sometimes you just need to act gentleman huh😎. Akanishika mkono akasema "Noh am so scared,please promise not to live me into this scary place my friend " nkamvua mzula nkawa nasugua upara mweupe kwa kucha nkiwa nasema "i'll always be there silvia "😌
[18/04, 19:24] Iqram: Tulifika bhana geti kuu la kambi nadhani ambao hamkwenda jeshini inabdi muwe mna imagine jeshini palivo msije mkatuchelewesha😏
Mikwara,vipigo suruba vitisho ndo kilichofata..Kule sio Picnic asee.
Siku ile ile tukapangwa kombania na bahati mbaya tukajikuta tumepangwa kombania
[18/04, 19:24] Iqram: Tofauti mimi na Silvia Nliumia sana mi Chalii Coy (C coy) yeye Bravo Coy (B coy)..Ambao hawakupita jkt hapo wanaona nimetaja chemical formula za compounds 🤣🤣🤣
Baada ya pale wote tukapelekwa kula.Nkiwa na Silvia tunaendelea kuangaza mazingira yale yenye watu wenye kijani tuu😁
[18/04, 19:26] Iqram: Katika kusubiri chakula pembeni kulikua na miti kadhaa yule binti akanambia" Noh sijui utaratibu na ratiba za huku zikoje lakini naomba fanya juu chini kila ikifika saa moja jioni unikute kwenye huu mti,please nakuomba " mi basi nlikua na neno basi wazee mi kila kitu ni "Ndio"
[18/04, 19:27] Iqram: Baada ya pale shughuli za kuoneshwa pakulala na ishu zingine zikafata..Usiku ule nkawa nawaza safari nzima jinsi nlikutana na uyu mtoto mweupe mwenye shepu la haja sasa zikaanza kuja zile sauti za wale wana kuhusu kupima NGOMA damn!!! Nkaachana nazo nkalala. INTERMISSION 🙌🏼
[18/04, 19:28] Iqram: "Kurutiii nyie mbwaa k*make bado mmelala" ndo sauti iliyoniamsha amka chapu tukapewa maelekezo yasiyo na marudio utaratibu ukaanza pilika nyingi.Kama ushafika kule hope you can feel me.
Siku zikasogea kila jioni naenda kwenye ule "Mti mahaba" nakutana na Silvia kupeana yaliyojiri
[18/04, 19:29] Iqram: Tukawa tunacheka tuu kwenye tabu zile..Baada ya siku kadhaa wakatangaza kuna ishu za kupima ili ifanyike "Intro" Duuh nkajua kwishnei nkaanza kuwaza yule Benedetta kunipa kirahisi vile kisa tuu tulikua washkaji hajanipa wadudu kweli😒
Aagh vipimo kibao vilifanyika lakini Negative
[18/04, 19:30] Iqram: Kesho yake wakatutenga wenye shida na sisi wazima( mind you hawa wenye shida haimaanishi wana ngoma NOO kuna waliotoka home na vyet vya magonjwa yao ).Silvia pia akawa kwenye wazima nkasema yess maana Nshaanza kumzimia msukuma yule wa kike 😁. Dada ake @⁨NoEscapeFrom Sorbibo☠️⁩  na @⁨Bit⁩ .Jioni ile tukakutana akiwa na vibe
[18/04, 19:31] Iqram: Akaanza " Shumbwelaaa eeh shushu shu shu eeeh shumbweelaaa...🎶 " nkajikuta nafurahi kwa sauti nzuri kuimba chenja za jeshi.Guys huyu binti alikua na sauti asee huko mbele ye ndo alikua anaimbisha nyimbo pale Bravo Coy.Nlikua nikikaa na washkaji nkisikia tuu huko B Coy
[18/04, 19:31] Iqram: Akaanza " Shumbwelaaa eeh shushu shu shu eeeh shumbweelaaa...🎶 " nkajikuta nafurahi kwa sauti nzuri kuimba chenja za jeshi.Guys huyu binti alikua na sauti asee huko mbele ye ndo alikua anaimbisha nyimbo pale Bravo Coy.Nlikua nikikaa na washkaji nkisikia tuu huko B Coy
[18/04, 19:32] Iqram: Sauti inasema "Ale wiiiiih ale waaa" nawaambia " Aaagh mmeskia kinanda changu lakinii😂..So tulipiga story kadhaa pale akafata chakula.Kuna siku tulikua shambani bhana kwenye mahindi hapo legend nkasema nisiwe fala ngoja nimpe ya moyoni. Mungu mwema demu aka RETWEET 💕
[18/04, 19:32] Iqram: Penzi letu likaanza na cheche zote unazojua..Japo ilikua ndani ya mazingira magumu but i saw true colors of real love.Nlimpenda sana Silvia alinipenda pia kuna time nliwahi kufua nkaanika tracksuit zangu wakaiba but that lady alitoa hela yake kuninunulia mpya..Nilipendwa❤
[18/04, 19:32] Iqram: Siku zikasogea bana kwenye mchaka mchaka wa jioni na mara kadhaa asubuhi ntakua nae,kila nikipata time nakua nae japo habari za Sex sidhani jeshini waliweza kunipa muda wa kuwaza maana kuna time asubuhi na baridi lote la Mlale tarafa ya Magagula kwa jinsi nlivokua naamka hoi
[18/04, 19:33] Iqram: Mpaka biolojia yangu ilikua haisimami😒..Achana na hizo habari
So tulifanikiwa kumaliza salama na mapenzi yakaendelea.Matokeo yalitoka Mungu mwema tukawa tumepata ufaulu sawa japo Chuo ye Akapangiwa Chuo kimoja cha Afya pale Mwanza kusoma Doctor of Medicine (MD) mi nkaja
[18/04, 19:33] Iqram: Into the bad land kusoma Nachosomea😂..Silvia alifurahi sana coz ye ndoto zake ilikua one day apate mtu wenye kushare interest maana masomo yangu na yake yalifanana but kimahusiano bana alichokua ananisisitizia ni hana second chance yeye she once told me
[18/04, 19:34] Iqram: "Noh look!! Whenever i found you cheat I'll block from your phone number to your existence" sure maana kilichofata alimaanishaga😫😫
Likizo moja akapanga kuja Moro kunicheki and i was excited.Kweli akaja bana Pasaka.
Silvia popote ulipo trust me you meant a world to me🙌🏼
[18/04, 19:34] Iqram: Alikuja bana..Alinionesha kila chembe ya penzi.Nlipokua nikienda Chuo nimemuacha home ntakuta kafanya kila kitu usafi,kaenda Sokoni Mawenzi kajaza friji mazaga umeme amenunua mpaka Channel kalipia mi nafika na staajabu tuu huyu Malaika ❤
Skua nyuma pia nlijitahidi kufanya
[18/04, 19:34] Iqram: Yote ili tuu afurahi..The best scene was that day i took her to the last top floor of GM hotel and get amazing the Beautiful Scenery of Uluguru Mountain at night while listening to the sound of wind blow and the eyes of Twilight from midst of Morogoro Municipal.💕
[18/04, 19:35] Iqram: Kuna siku nkamwambia " hey bebe jiandae leo mimi nawewe mpaka College of health science ukasome na mimi kiti kimoja class..Ni amri hii" akashangaa sana but akajiandaa tukaenda class.Nilifanya vyote ye afurahi Halafu pia nlijiamini coz mule class
[18/04, 19:35] Iqram: Hamna ambae angemgusa kwa urembo Silvia chezea mtoto wa kisukuma 🤗
Tulifundishwa darasani bila ticha kustukia ugeni mpya tukatoka akawa ananifinya njiani anasema wangetoa Quiz je..Was lovely moves my people💕
Akarudi chuo Mwanza and siku zikapita.
[18/04, 19:36] Iqram: Video calls kila siku usiku nlienjoy and the morning calls was beauty between us. Sikuwahi kuchoka kuwa nae coz she was a full package of a lover.
So siku zikapita mi nkiwa Field pale Mpwapwa Dodoma ye akawa anatoka Mwanza anaenda Dar akasema anataka apite ghetto Moro apumzike
[18/04, 19:36] Iqram: Ikabidi niende Dom town nkamkabidhi funguo nkamwambia akitaka kusepa ye Key aiache kwa Sister Gee jirani yangu. Sure ikatimia akafika ghetto.
Kesho yake mida ya saa tano akatuma meseji ambayo ndo chanzo cha huu uzi alisema" Noh please,sikutegemea itaisha hivi why? Mbona ivi
[18/04, 19:37] Iqram: Hii sidiria ni ya nani humu ndani,sidhani kama utanipa jibu la kuniaminisha sina second chance am done😕." wazee nlikua kwenye Zizi la Ng"ombe nkahisi hata wale ng'ombe siwaoni tena.Nlijaa na bumbuazi sikuamini nachokiona.Nkampigia simu hapokei baada ya mda
[18/04, 19:37] Iqram: Akawa kaniblock kote..Sikusubiri muda uende sana nkaomba ruhusa weekend nkarudi moro kumuuliza Sister Gee anasema Silvia aliondoka analia sana akanipa funguo ngoja tuone ndani aliona nini😫😫
Kweli bhana kumbe alivokua anafanya usafi room aliona sidiria.Halafu sister Gee alivoiona
[18/04, 19:39] Iqram: Akasema ni yake.Kumbe ile siku nlivobaki home mvua ilivotaka kunyesha nkamuanulia nguo iyo Si** ilidondoka chini ya kitanda bila mi kujua wala yeye kukumbuka kuuliza 😫😫
Silvia sijui moyo wake ukoje but mpaka leo simpati kokote nahisi hata namba alibadili but namba zake
[18/04, 19:40] Iqram: Mi bado ninazo, picha zake zote kuanzia jeshini tulizopiga na TECNO M3 yangu kipindi kile zipo.She decided to give the this heart break.
#End

"If you cheating play smart"

Credit: wenc

7 comments:

Theme images by konradlew. Powered by Blogger.